Mkomamanga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 815
- 190
Naona kama Wanatapa tapa vile mbona kilichoandikwa kwenye Mseto ni copy & Paste ya kilichoandikiwa kwenye Mwanahalisi Jumatano iliyopita.
Kati ya Radio Imani na Mwanahalisi ni kipi cha hatari zaidi?
nilikuwa nikizungumza na ndugu yangu mmoja jioni hii akanambia kuwa eti gazeti la mwanahalisi limekuja kwa staili mpya mabapo eti kubenea anashusha habari nzito za uchunguzi kupitia gazeti la mseto linalomilikiwa na kampuni ya hali halis publishers na akanitolea mfano leo kuwa eti gazeti hili ambalo huwa ni mahsusi kwa ajili ya michezo headlne yake ilikuwa ni ya siasa na sio michezo.hili likoje jamani/naomba ufafanuzi
Kati ya Radio Imani na Mwanahalisi ni kipi cha hatari zaidi?
Imefuata.imefuata imevunja?
R.I.P Mwanahalisi.
Kanisa la ufufuo pia lifungiwe!
Dah! Heko nalo lilikuwa gazeti?