Ndugu zangu MwanaHalisi kuvunjika kwa pakacha si mwisho wa uchukuzi. Nashauri yafuatayo ili mwendelee kutuhabarisha:
1. Fanya MwanaHalisi liwe linachapishwa mtandaoni tu kwa sasa kwani zuio la serikali ni kwa ajili ya print tu. Habri zenu mziwekee mafaili ya pdf ili tuwe tunaweza kuchapisha nakala.
2. Fungua blog kupitia marafiki waliopo nje ya nchi ili lisibanwe na sheria zinazosigina haki ya vyombo vya habari, ili mwendelee kutuhabrisha.
3. Geuzeni gazeti lenu la michezo la Mseto liwe la habari za kawaida/makala ama kwa kuliongezea kurasa za mwanzo na nyingine kuliwekea habari za michezo km kawaida.
4. Ombeni Jamii Forums iwape space ambayo mtaweka link yenu tuwe tunalipata kupitia humu.
5. Mnaweza kuanzisha gazeti jingine kwa jina jipya labda mkaliita HabariHalisi
Ntapingana na wewe.....kunradhi kwa hilo.........hapa kinatakiwa ni continuity na si sustainability.....siungi mkono hili la kubembeleza kwa kuwa litawapa masharti magumu na kupoteza umaana wa MWANAHALISI.........yaani wageuke kuwa UHURU-2?
Wazo lako ni zuri. Ambapo linaonesha una mapenzi kiasi gani kwa gazeti hili. Tatizo tu ni kwamba kufanya unavyopendekeza kutaligeuza MwanaHalisi kuwa Charity organization kama WikiPedia, na sidhani kama Kubenea na wenzake wanataka kulifanya gazeti lao kuwa Charity organization. Ukifanya say copy 90,000 kwa wiki mara 500/- ni mihela mingi sana hata ukiondoa operating costs kama pesa za mawakala bado weekly income inavutia sana. Upande wa Business wa mwanahalisi ninavyoona mimi unaelekeza Kubenea ashuke tu kidogo na kubembeleza serikali imwachie. Nimewahi kusikia watu wanasema Serikali hii ni sikivu sana watamwachia tu.
Ingawa panaweza pakahitajika political pressure kidogo kutoka mashirika ya taaluma ya habari--au hata vyama vya siasa.
jina zuri among others5. Mnaweza kuanzisha gazeti jingine kwa jina jipya labda mkaliita HabariHalisi
Ushauri safi! Ulitumiwa Zimbabwe na ukafanikiwa ingawaje IT literacy huko ilisaidi. Vipi mkienda mahakamani??Ndugu zangu MwanaHalisi kuvunjika kwa pakacha si mwisho wa uchukuzi. Nashauri yafuatayo ili mwendelee kutuhabarisha: