Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Jamani naomba kuuliza ety kuna tofauti gani kati ya aluminium na aluminium alloy
according to the definition of alloy, is a substance formed due to combination of two or more than two metals. Shortly aluminium is pure but aluminum alloy is impure .
 
habari wadau , nimechaguliwa chuo zaid ya kimoja yaan dit na cbe ila nimetumiwa sms ni confirm chuo kimoja ninachokita kupitia code number kupitia account cha chuo ninachokitaka. pia kuna chuo cha private niliomba ila siyo online na wamenichagua so nasubiri majibu ya majina waliyopeleka tcu kama watanichagua . sasa sijajua effect ya kuconfirm ni ipi? kwa maana chuo ninachotaka kujiunga ni hiki cha private ikishindikana basi iwe cbe au dit.... je nikiconfirm either cbe or dit kile cha private nitakuwa cancelled direct? msaada wadau maana leo ndio deadline ya kuconfirm..
 
Mimi ni naitwa JUMANNE SELEMAN JUMANNE
Ni kijana wa umri wa miaka 17
Nilimaliza kidato cha nne mwaka 2019 katika shule ya CENTRAL VALLEY SECONDARY SCHOOL
Baada ya hapo selection zilivyokuja nlipata bahati ya kuchaguliwa chuo.

Sasa cha kushanganza siku na report chuoni nkaambiwa kua kuna kitu nlikua sja verify( confirm) sasa naombeni usaidizi ndugu zangu

Naomba kama unajua katika hili naomba unishauri katika hii namba 0782540847
 
Kwa walimu wa Biology. swali: why individuals who are heterozygous for a sickle cell anaemia trait resistant to malaria disease?
severe vascular complications that can lead to early death in individuals who are homozygous for the mutation, in its heterozygous form , it partially protects against severe malaria caused by P. falciparum infection due to genetic mutation in the beta globin gene producing sickle hemoglobin
 
A detective is interested in finding the depth of a well where he believes a criminal has
hidden a gun. The detective drops a stone into the well, and measures the time before a
splash is heard. The total time t consists of the time it takes for the stone to hit the water
t1 and the time it takes for the sound to travel from the surface of the water to the
detectives’ ear t2. If g is acceleration due to gravity, d the depth of the well and c the
speed of sound in air then we can write:
View attachment 1642722

By rearranging the formulae, find a sensible solution for the depth of the well given that
the detective counts 2.5 seconds before hearing the splash.
Take g as 9.81 m/ s2 and c as the speed of sound in air at atmospheric pressure and 20°C.
hili ndo limekushinda
 
Hivi wakuu ...course ya youth development work and commonwealth..inakujenga kuwaje katka mazingira ya ajira...kuwa nani labda..
 
Wakuu msaada wa majibu kwa swali hili.

Discuss how the field of experiences can affect the communication
 
Back
Top Bottom