Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Habari za muda huu ndugu zangu.
Mimi ni mwalimu wa masomo ya bailojia (Biology) na kemia (Chemistry) kwa ngazi ya kidato cha 1 mpaka cha 4.

Hivyo kutokana na mzunguko wa materials kuwa bado mgumu kwa baadhi ya wanafunzi na walimu pia hasa kwa masomo tajwa hapo juu hivyo nimeona bora niweze kuandaa notes ambazo ni mzuri na rahisi kwa kuzitumia katika kujisome kwa wanafunzi na kufundishia kwa walimu na notes zinauzwa kwa gharama ya sh.500 kwa kila topic kwa njia ya PDF.
Kwa maelekezo mengi tafadhali piga 0628707503 pia namba hii inapatikana WhatsApp au nitafute telegram group @moodnotes1

Ahsante
Sir. Moodjuta
 
Samahan kama kuna mtu anaweza kunisaidia material ya Advanced chemistry soft copy ya Ngaiza
 
A chemical reaction has activation energy of 70kj/mol uncatalyses at 293k and when catalyst was used activation energy was 20kj/mol at 20°C . How fast was the reaction? Naomba msaada wa hili swal please
 
Naomba kusaidiwa kusolve swali hili, Mwanangu kaniletea limenishinda
Natanguliza shukran
farmer.JPG
 
1) Kamba inayotumika kuongozea farasi huitwa?
2) msimamizi mdogo washamba kubwa huitwa?
2) kambi wanayokaa wagonjwa wa ukoma huitwa?
 
Naombeni munisaidie nna mdogo wangu amemaliza four four mwaka huu amepata kiswahili C, English C, bioD, history D, civic D, geo D, je asomeee nini kulingana na matokeo yake
 
Bdo C moja haikakamilika hapo ili mtu asome hiyo HKL lazm awe na C tatu hapo labda arudie atafute hiyo C moja
 
Naomba kuelekezwa namna ya kugeuza cm kwenda km. Kipimo ama scale 1:50,000 kizingatiwe.
 
Ukishawarudishia shillingi mia moja kila mmoja watu wawili wale uliokuwa umewakopa elf tano kila mmoja, mpaka hapo inakuwa umewakopa shilling 9,800/= . Kwa hiyo mpaka hapa unakuwa kama ulienda dukani ukiwa na shilling 9,800/= na kununua ngu kwa shilling 9,700/= na hivyo lazima ubakiwa na shilling 100/=.

Kwa hiyo shilling 100/= unayo wewe. Ni kwa sababu umekopa shilling 9,800/= na ukanunua nguo kwa shilling 9,700/ na deni lako lote ambalo bado unadaiwa mpaka muda huu ni shilling 9,800/=
 
Back
Top Bottom