Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,331
Hizo huwaga ni heasbu za kihuni ambazo hazifuati kanuni za kihesabuTafadhar nisaidien wajuzi wa mahesabu!!
Wanasema hivi, 25/5, 2 haigawanyiki kwa tano, bali 5 inagawanyika kwa 5 na inaingia mara 1, so unakuwa na 1 pembeni so katika 25 utakuwa umebakiwa na 20 kwa sababu 5 imeshagawika , hivyo hiyo ishirini kwa tano inaingia mara nne, so ile moja yankwanza na hii nne ndio unapata hiyo 14
Bonge la uongo