linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,732
- 4,393
Habari zenu Great thinkers,
Kuna habari hii ya huzuni inamuhusu mwanafunzi wa masters pale UDOM kwamba amechomwa kisu na kufariki.
Naomba mwenye taarifa kamili atujuze. Nimesikitika sana.
RIP mpendwa. Poleni wafiwa
Kuna habari hii ya huzuni inamuhusu mwanafunzi wa masters pale UDOM kwamba amechomwa kisu na kufariki.
Naomba mwenye taarifa kamili atujuze. Nimesikitika sana.
RIP mpendwa. Poleni wafiwa
Ni kweli amechomwa kisu mara mbili na mchoma chips na amefariki.
Kisa bado hakijajulikana vizuri.
Nimetumiwa SMS na mfanyakazi mwenzangu anayesoma naye (masters) hapo UDOM