Anyway ni huzuni sana mi mwenyewe nitakuwa muangalifu manake mwenyewe nahusikaga sana na matukio ya utata bar.
Usigombane na mshona viatu na muuza chips ni watu hatari sana siku zote
Anyway ni huzuni sana mi mwenyewe nitakuwa muangalifu manake mwenyewe nahusikaga sana na matukio ya utata bar.
Usigombane na mshona viatu na muuza chips ni watu hatari sana siku zote
Hii taarifa mpaka sasa imekaa kitetesi zaidi ngoja tuiache kwanza.
asante dear...nimerudi botswana last week dear..pole na wewe
Ha haHuyo muuza chips kila anachokiona ye anafikiri ni kiazi.
MAMA JUNIOR NAOMBA NAMBA YAKO YA SIM KUNAKITU NATAKA NIKUOMBEpole sana mama Junior
Wa Akeri tengeru?Inahuzunisha sana ni homeboy wangu ka hustle sana na Elimu ili Ije implipe since Akeri, Ihungo, UoA na Udom
RIP Baba Steve!! Mungu ampe pumziko LA milele
machafuzi unit watakukumbuka