We juzi ulikua unafundisha watu humu jinsi ya ku block sms (Post hii hapa) Leo unashindwaje kum block huyo mwanafunzi asikusumbue?
Hii ndio jf.
Mwalimu anamisiwa na wanafunzi wake anakuja kulalamika na kuomba ushaur...
Wakati siku mnafunga shule kwa mdomo wako ukawaambia wanafunzi tukumbukane jaman.. Leo unakumbukwa unaleta mjadala... Dah.
Nyota yako sas inakuelekeza mlango wa jela 30yrs
Unataka ushauri wa aina gani? Usichojua ni maadili ya ualimu au adhabu itayokupata baada ya kuisaliti taaluma na kujihusisha kingono na under 18?Wadau mimi ni mwalimu wa shule ya secondary xx. Ni shule ya bweni jinsia mchanganyiko. Sasa hivi ni likizo na watoto wamerudi nyumbani.
Juzi usiku nikapokea sms "sir habari ya likizo,nimekumic sana" nikamuuliza wewe ni nani akanitajia jina lake.
Ni mwanafunzi wa kike kidato cha tatu. Ni mtoto mwenye mvuto sana na ni mzuri sana. Sasa kila siku anatuma sms kwamba kanimic na anataka anitembelee ninapoishi. Nisipojibu sms analalamika kwamba namchunia.
Jamani haka katoto kananitia majaribuni sana. Naombeni ushauri wenu maana hapa nimefikia point of no return.
Wanaume tumeumbwa mateso!
Achana nae, mara nyingi majuto ni mjukuu bora uepukane nae tu yaishe
Kama umesajili line yako kwa kitambulisho cha NIDA tayari umeshajulikana.
Cha msingi kafundishe topic ya reproduction hasa eneo la ovulation process halafu kaulize kama kameelewa.
Ni kweli ila siku hizi walimu unakuta anakwenda field ana miaka 20 ,21 ,22 hivyo ni watoto wamekutana
We ushamla huyo binti, umeleta uzi kuzuga tu
Tupo na tutakunyoosha .. wee Haribu kazi uone Moto wake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahaaha wadau hii ni fiction story. Yaan jf ukipost kitu kuhusu mapenzi comment zinatililishwa hatari. Nimepost hii thread ni masaa machache tu wadau wameshambulia hatari. Sasa post kitu cha msingi. Unakaa hata week moja lakini hakuna anayekoment. Hakika mapenzi yanarun dunia.