Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

Iyo ni michuano ya afrika sio ya tz,unataka asemeje?mnapenda kubembelezwa sana mkielezwa mambo kwa uhalisia wake mnamind

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hata kama ingekuwa ya Dunia issue ni kwamba ameshika nafas ya tatu na huyo aliyeshika ya kwanza asemaje?
Kwanza emu tupe ufafanuzi kuhusu hiyo michuano ya Hisabati iliyofanyika
 
Simshangai huyo mtoto.Mimi mwenyewe nilipokuwa mdogo nilikuwa nashangaa mtu anafeli vipi.Mpaka namaliza chuo kikuu sikuwahi kufeli.Ila maisha yamenipiga na kitu kizito kichwani najiuliza waliotajirika wamewezaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaona mapicha yaani[emoji38]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Simshangai huyo mtoto.Mimi mwenyewe nilipokuwa mdogo nilikuwa nashangaa mtu anafeli vipi.Mpaka namaliza chuo kikuu sikuwahi kufeli.Ila maisha yamenipiga na kitu kizito kichwani najiuliza waliotajirika wamewezaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uko off point dogo hajaongelea maisha, yeye kaongelea mitihani.
Na je anaweza someshwa Feza afu akahangaika ka wewe?
 
Je hayo ni makosa ya watoto au wazazi kuzaa na kulea katika mazingira magumu?
 
Sema kweli kufeli NECTA kwamba ukose 1,2,3 hata 4 ya kwenda certificate inashangaza sana tena hasa kwa kizazi hiki cha form 4 cha utawala wa Mwendazake na kuendelea na hii haijalishi umesoma kayumba au laah.
Kama wanafunzi wa sasa wanafeli sababu ni wapumbavu, zamani walifeli sababu ni wajinga
 
Watanzania wanapenda unafiki, umasikini, roho ya kuonewa huruma, kuitwa wanyonge. Na kundi kubwa la Watz liko hivi
 
Mnamuonea dogo ila kaongea uhalisia siku hizi mitihani miepesi sana.

Maisha ya mtaani walaumiwe wazazi kushindwa maisha
 
Hata kama ingekuwa ya Dunia issue ni kwamba ameshika nafas ya tatu na huyo aliyeshika ya kwanza asemaje?
Kwanza emu tupe ufafanuzi kuhusu hiyo michuano ya Hisabati iliyofanyika
Kuna ulazima gani kushika nafasi ya kwanza?kwanza lazima utambue kijana amejitahidi sana kwasababu walikua wanafunzi 49 wamepita 6 sita tu kwenda kwenye michuano ya mabara

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kashapiga one yake safi O level apo ameshinda michuano ya Hisabati kwa afrika ameshika nafasi ya tatu kwa level ya O level..Na ameshahama mtaala anasoma cambridge A lavel

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sasa huoni utofauti, dogo kajiongeza mwenyewe, akitoka hapo anaenda nje ya nchi. Anarudi kuongoza kampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…