Mwanafunzi wa chuo kikuu Dodoma afariki akiwa usingizini

Mwanafunzi wa chuo kikuu Dodoma afariki akiwa usingizini

Kifo kizuri sana hicho, ni wachache wanaopata bahati ya kifo cha aina hiyo, RIP marehemu
True dat!! What id angeungua moto? Kufa maji? Kufa kwa ajali? Unaumwa had unakata tamaa? Lakini hii umelala tu hatujuintutakufaje all in all kifo hakiepukiki
 
Jenga tabia ya kujua afya yako ili uweze kukabili matatizo yakiwa madogo sio makubwa. Hii elimu ni ya darasa la saba tu
I always undertake medical checkup. But does not keep me away from the date of death sir
 
I always undertake medical checkup. But does not keep me away from the date of death sir[/QUOTE
]
Tuendelee na lugha Tulioanza nayo:-
Kupima afya mara kwa mara,hakutakuweka mbali, au kukuondolea siku ya ahadi, bali husaidia kulijua tatizo, uweze kulishughulikia mapema, walao kupunguza mateso na maumivu yanayoweza kuzuilika.
 
Taarifa zilizopo ni kwamba, mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kikuu cha Dodoma, kitivo cha Elimu anayefahamika kwa jina la Seni aliekua akisoma bachelor of education in policy planning management (BED PPM) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa usingizini.

Taarifa zinaongeza kwamba, kabla ya umauti marehemu alirudi chumbani kwake akitokea darasani alikokuwa akijisomea, ambapo alipopanda kitandani na kulala, hakuweza kuamka tena baada ya juhudi za kumuhamsha asubuhi ya leo kugonga mwamba, hali iliyopelekea wasi wasi kwa wanaroom wenzake hivyo wakatoa taarifa kwa wanafunzi wengine na uongozi wa chuo juu ya tukio hilo.

Mpaka sasa haijajulikana ni nini hasa kimepelekea kifo chake, ingawa tayari madaktari wamethibitisha kifo hicho, na sasa mwili wa marehemu upo katika hospitali ya General kwa uchunguzi zaidi chini ya uangalizi la jeshi la polisi Dodoma.

View attachment 364536

R.I.P
Najisikia kushara taarifa hii
 
Back
Top Bottom