Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,769
- 22,060
Amekurupuka kweli huyo, haelewi maana yakeHujaelewa kitu umekurupuka
Amekurupuka kweli huyo, haelewi maana yakeHujaelewa kitu umekurupuka
Kweli mkuu, nadhani pia ni mpango wa mungu, maana kuna kitu kinaitwa Kansa, ukimwi, kumekuwa na magonjwa unaumwa kufa hufiiiiiiiiKifo kizuri sana hicho, ni wachache wanaopata bahati ya kifo cha aina hiyo, RIP marehemu
matatizo ya maishaHivi vifo vya usingizini
Mbona vimeshamiri kwa sasa!?
Kuna tatizo gani
Mkuu! Hakufurahia kufariki kwa mwenzetu huyu, (Mungu amuweke pema), ameongelea aina hii ya kifo. SAMAHANI, KAMA NIMEMKWAZA YEYOTE !Kifo kizuri??....angekuwa ndugu yako wa damu..au mzazi wako ungeona uzuri wake.....
Gari?Wewe ukiambiwa kuchagua kati ya kifo cha kulala usingizi na cha ajali ya gari utachagua kifo kipi maana kufa kupo tu hakuna ujanja
Anamaanisha kufa kipindi hiki cha Ccm ni bora kuliko kuteseka ukiwa kwenye nchi yako!Kizur kwa nn sasa
Umesema kweli mkuu kifo cha taratibu sanaKifo kizuri sana hicho, ni wachache wanaopata bahati ya kifo cha aina hiyo, RIP marehemu
Kufa tutakufa. Kama ingeruhusiwa kuchagua kifo, basi ningechagua kufa nikiwa usingizini. Ni kifo chema kwa mtazamo wanguKifo kizuri??....angekuwa ndugu yako wa damu..au mzazi wako ungeona uzuri wake.....
Kweli wewe mwanaizaya ha ha ha japo sijui maana ya neno hilo. Sioni ajabu ya jibu lako, maana umezaliwa ktk mazingira magumuAnamaanisha kufa kipindi hiki cha Ccm ni bora kuliko kuteseka ukiwa kwenye nchi yako!
Hata ukipima, kufa utakufa. Watu wanafia india, uingereza, us n.k?Possibilities kubwa ni sukari, pressure, life style zetu na kutokupima afya mara kwa mara ni vigumu kujua umeshapata tatizo. RIP. tukapime afya zetu ili tupate matibabu mapema
Aiseee!Alikua ameshapokea mkopo???,
Ni kifo kizuri tofauti na mtu Anaugua Kwa muda mrefu kisha anafariki au mtu ana pata ajali kisha Anakufa. Lakin ndugu yetu ameondoka akiwa amelala.Kifo kizuri??....angekuwa ndugu yako wa damu..au mzazi wako ungeona uzuri wake.....