Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
Mapenz mnaya overrate sana. Chukulien simple tu..Hajawahi achwa au kuacha wewe, maumivu ya mapenzi yasikie kwa mtu mwingine, omba yasikukute, yahitaji utashi wa ziada kuyakabili maumivu yake![]()
Mapenz mnaya overrate sana. Chukulien simple tu..Hajawahi achwa au kuacha wewe, maumivu ya mapenzi yasikie kwa mtu mwingine, omba yasikukute, yahitaji utashi wa ziada kuyakabili maumivu yake![]()
Ukishindwa kuwa single.Lazima ukae nayo kwa umakini, inaweza kukumaliza wewe mwenyewe licha ya kuwa unaimiliki.
hata mimi kanishangaza piaLeo sijui umeandika vinini.sasa habari ya akwilina inahusianaje na hii yako? Visa viwili tofauti
umelijuaje wakati humu ni ID siriHaha, inanikumbusha kuna jinga moja lilitaka kujiua kisa mapenzi..haha afu lipo humuu hahha..Niaje mkali???hahah
Ni kuendekeza TuuHajawahi achwa au kuacha wewe, maumivu ya mapenzi yasikie kwa mtu mwingine, omba yasikukute, yahitaji utashi wa ziada kuyakabili maumivu yake![]()
Duh yaani umeniliza kwa kweli!A very good boy Shija was.
I knew him since his childhood.
Baba yake alimpenda sana na kumpa kila chema alichotaka.
Kijana mzuri ambae wazazi wamehangaika kumlea hadi chuoni,only for him to find a "whole new world" chuoni,ujana mwingi na kudate msichana asiye mwaminifu,demu alilipiwa hadi hosteli na dogo,na bado hakutuliza mzigo,Shija akafumania,katika kukurukakara na jamaa aliyemfumania,dogo akasukumwa na kuanguka toka ghorofa ya tatu.
I went there kutoa heshima kwa mwili,nikamtazama Shija,kijana mdogo,mzuri na suti yake amelala ndani ya jeneza,wazazi wake waliompenda sana wakiwa na nyuso za huzuni,mamia ya waombolezaji tukiwa tumewazunguka,tukimuaga kijana wao ambae ndio kaimaliza safari yake at his 20's na kwa staili hiyo!
Vijana wetu hebu tulipeni wazazi wenu sawa na matendo yetu,this is totally unfair.
Ulihitimu shahada ya nni huko chuoni ?Vitoto vya siku hizi vinajua mapenzi hadi wivu. Enzi zetu tukiwa chuo. Ukiwa na hamu ya mapenzi unakwenda mtaa wa Livingstone kwa wahaya. Utatoa dala unapewa penzi la kufa mtu na unarudi zako chuo. Kama huna dala unadandia uda hadi Manzese kwa wahaya wa bei rahisi au mtaa wa Sudan Temeke. By the way wapo hawa watoa huduma siku hizi ?
Una waswas amegundua ni wewe ?umelijuaje wakati humu ni ID siri