A very good boy Shija was.
I knew him since his childhood.
Baba yake alimpenda sana na kumpa kila chema alichotaka.
Kijana mzuri ambae wazazi wamehangaika kumlea hadi chuoni,only for him to find a "whole new world" chuoni,ujana mwingi na kudate msichana asiye mwaminifu,demu alilipiwa hadi hosteli na dogo,na bado hakutuliza mzigo,Shija akafumania,katika kukurukakara na jamaa aliyemfumania,dogo akasukumwa na kuanguka toka ghorofa ya tatu.
I went there kutoa heshima kwa mwili,nikamtazama Shija,kijana mdogo,mzuri na suti yake amelala ndani ya jeneza,wazazi wake waliompenda sana wakiwa na nyuso za huzuni,mamia ya waombolezaji tukiwa tumewazunguka,tukimuaga kijana wao ambae ndio kaimaliza safari yake at his 20's na kwa staili hiyo!
Vijana wetu hebu tulipeni wazazi wenu sawa na matendo yetu,this is totally unfair.