Mwanafunzi mwingine Dar auawa kinyama!

Mwanafunzi mwingine Dar auawa kinyama!

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,639
Wakati Akwilina akiuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye daladala maeneo ya mkwajuni kinondoni jijini Dar, Feb 16 mwaka huu, mwanafunzi Shija Daudi Kasuku (20) wa chuo kikuu cha Elimu ya Biashara (CBE), Tawi la Dar, alidaiwa kuuawa kwa kusukumwa kutoka ghorofa ya tatu hadi chini.
front-Ijumaa.jpg
Shija aliyekuwa akisomea Diploma ya Biashara akiwa yupo mwaka wa pili chuoni hapo, alidaiwa kuuawa na mwanafunzi mwenzake kwa kile kilichosemekana kwamba ni wivu wa kimapenzi.
 
Chanzo cha habari mkuu
 
Usiyejua kupendwa/kupenda huwezi andika la maana hapa. Mwache ajifilie asijeona mwenzake akibanjuka na sabuni ya roho yake mchana peupe. Halaf ukute ati mko course moja. Cha nini kuokota makopo mchana?? Tanguli, tangulia uka resti ini piisi kuliko kuyaona mapenzi mubashara mbele yako
 
Kuachwa kunauma kwa kweli daaah......niliumia mm lkn one thing I can't do is commiting suicide
 
Back
Top Bottom