Mwanafunzi mvivu

Mwanafunzi mvivu

kushandwisdom

Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
6
Reaction score
4
Mwanafunzi mmoja aliambiwa na mwalimu wake wa kiswahili, atunge sentensi yenye neno sukari.

Mwalimu : Mussa , tunga sentensi yenye neno sukari.
Mwanafunzi : Jana nilikunywa chai na vitumbua.
Mwalimu : Neno sukari liko wapi katika hiyo sentensi ?
Mwanafunzi : Liko katika sukari .
Wanafunzi : ahahahahahahahahahaha:dance:

Je, mwanafunzi kama huyu anasaidiwaje.
 
umekosea,neno sukari lipo kwenye chai.BT OUTDATED
 
Back
Top Bottom