1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,427
- 3,075
Rada to rada meku min -me π π πNipo rada meku
Sawa mekuMuhimu pesa kibindoni maneno mdomoni π€£
...Watu tutunze afya sana kwa madaktari nyie π€£π€£Mlizoea ni wahaya tu wanajisifia usomiπ€£
Huku TAMISEMI basic ni 1.5 MRasmi sasa ni Drπ walimaliza mwezi Mey now nimesapua nimepita sasa rasmi ni Dr achana na hao ma Dr manyau nyau π€£π€£
Wakunga na manesi msikate tamaa kila kitu kinawezekana tena kwa nchi zinajitambua nikugusa tuππ
Acha leo nilewa tuπ π π π π π»π»π»ππ»
Bwashee sijakula ki ukweli niko πππKinyonge mno umekula kweli weweπ π
Kumbe kuna watu watavaa suti za karotiNdio yenyewe , full kikosi ndio hiki Ghayos Mongolia Mabange GangView attachment 3689330
Hongera Sana mkuu from registered nurse to doctor....nishauri mkuu hivi Ile diploma yangu ya ustawi wa jamii Toka nimehitimu 2010 sijawahi hata kuiombea kazi naweza kuiongezea Na Nini ili niendelee kuwasumbua wakurungwa, Kwa Sasa Nina degree ya Ile kozi yetu ya afya..Rasmi sasa ni Drπ walimaliza mwezi Mey now nimesapua nimepita sasa rasmi ni Dr achana na hao ma Dr manyau nyau π€£π€£
Wakunga na manesi msikate tamaa kila kitu kinawezekana tena kwa nchi zinajitambua nikugusa tuππ
Acha leo nilewa tuπ π π π π π»π»π»ππ»