ikawaje.........?
Inna lillah wainna ilaihi rajiun
Jamani hawa vibaka hawa...rip mwanafunzi
kwani amekufa........?
Wanafunzi wanajiandaa kuandamana kwakudai ulinzi chuoni hapo kwakua matukio ya wizi wa Laptop simu za mikononi umeshamiri sana chuoni hapo wakati wanafunzi wakiwa wamekwenda kujisomea! Na hapa nilipo naona maaskari wanajiandaa kushuka kwenda Njiro chuoni hapo kwaajili ya hilo tukio! More updates coming.
Mimi nimetoa Updates wewe unauliza maswali! Mbona unakua kama LUKUVI!Kwa ajili ya kuzuia maandamano au kutafuta vibaka?
kwani amekufa........?
Jamani Preta kwani heading inasemaje
Acha haraka zako. Zima Starlet kwanza ucheki maji kwenye rejeta. Utachemsha injini!
nina mawazo....tairi zimekuwa kipara....nataka nianzishe thread ya mchango.......