Mwanafunzi chuo cha uhasibu Arusha auwawa

Mwanafunzi chuo cha uhasibu Arusha auwawa

wakati nasoma hapa tulishavamiwa na vibaka kama 100 hv maeneo ya kwa tondi wakachukua laptop na pesa.....ila tulifanya msako na kumchoma kibaka mmoja maeneo kambini toka hapo hali ilitulia ila hao vibaka ni noma nadhan wanashirikiana na polisi.....

ocd.......lazima
 
Nipo hapa getini mwa chuo ila hakuna mtu anayeruhusiwa kuingia zaidi ya kutoka kwa yeyote aliyekuwa ndani ya chuo na habari nilizonazo ni kwamba Mbunge wa Arusha mjini Mheshiwa G. Lema yupo ndani ya chuo tangu saa tatu kasoro asubuhi na ndipo Malongo alipokuja ndiyo akatibua chokochoko yote. Na ndiyo chanzo cha fujo kwani asingesema hovyo fujo isingetokea!

Copy kwa Mwanyasi

Nina hasira hapa.
 
Back
Top Bottom