Mwanafunzi aliyefukuzwa UDSM aomba msaada!

Mwanafunzi aliyefukuzwa UDSM aomba msaada!

Mchuma janga hula na nduguze,simuonei huruma hata kidogo huyo kiazi,wenzake wanatafuta bahati yeye anaichezea!
Akili ndogo kabisa. Bado unaamini vitu vinatokea kwa bahati? Hope you still believe kwa mfano mtu kupata fursa ya kusoma ni bahati pia therefore sharti apanguse miguu kwa kila aliye na mamlaka ambaye ndo anasimamia hizo bahati!!!...nchi ya majuha kweli hii.
 
Kwa majibu ya watanzania wengi humu. Ambao kimsingi inaonyesha IQ bellow avarage:

1. Kwa fikra hizo akina Nyerere wasingethubuti kuanza harakati za kudai uhuru
2. Akina Nelson Mandela wasinge thubutu kupinga ubaguzi wa rangi na kufungwa miaka 27

3. Akina Martin Luther King Jr wasingepigiania haki za mtu mweusi.

Yaani wangeheshimu na kutii mamlaka zisizothamini utu wa mwanadamu.

Safari tunayo ndefuuu
 
Kama watanzania uwezo wao wa kufikiri na kuyaangalia mambo ndo huu...tuna safari ndefu sana. Pengine we need "a genetical drift" kupata haueni ya kuzazi cha kuhoji, kuwasemea na kuwainua wanyonge n.k. Hizi mentality kwamba mwenye mamlaka ana "absolute power" kufanya lolote kwa wenzake ni akili na mawazo ya kalne ya 10. Worse enough uwe na watu wakusimamia mambo haya alafu wenye fikra kama hizi. Ni taabu saaana.
Tatizo kubwa hujielewi na hujui chochote na psychologically- radically manipulated mithili ya suicide bombers au waumini wa walokole, unajiona sahihi kabisa ! Vijana ishini maisha yenu, mihemko ya kisiasa inagharimu na hao wanasiasa mnaowaona watetezi hawaishi hivyo, siku zote wanapigania maslahi yao na familia zao - ukisikia anatetea kitu cha watu wengine ujue kina maslahi kwake pia na familia yake. Mtaharibikiwa sana kwa kutojitambua
 
Kwa majibu ya watanzania wengi humu. Ambao kimsingi inaonyesha IQ bellow avarage:

1. Kwa fikra hizo akina Nyerere wasingethubuti kuanza harakati za kudai uhuru
2. Akina Nelson Mandela wasinge thubutu kupinga ubaguzi wa rangi na kufungwa miaka 27

3. Akina Martin Luther King Jr wasingepigiania haki za mtu mweusi.

Yaani wangeheshimu na kutii mamlaka zisizothamini utu wa mwanadamu.

Safari tunayo ndefuuu
Ukiacha Nyerere,

- Huyo Mandela alipigania nini , kupata rais mweusi, haya wanaye sasa rais mweusi na uchumi wote uko mikononi mwa wazungu mpaka leo

- Huyo Martin Luther mbona mpaka sasa mtu mweusi bado ni daraja la mwisho

Vijana tumieni akili, wanasiasa wote lao moja - WEALTH and POWER, Kama wewe si mmoja wao utakuwa mtaji mpaka kiama na mawazo yako hayo ya UHURU na UKOMBOZI FICTIONAL
 
Unasoma yanini na kazi hakuna? Tafuta mtaji ufanye biashara
 
Unasoma yanini na kazi hakuna? Tafuta mtaji ufanye biashara
 
Chuoni si Sehemu ya kufata Mkumbo, chadema msaidieni huyu kijana Maana alifanya Harakati kwa ajili yenu,,, sasa iwe funzo kwa wanachadema waliopo vyuoni huyu toka 2011 hajapata msaada kuweni wapo ujuaji mbaya.
I wish baba ako angevaa condom tuu tusingepokea mawazo haya
 
Natumia kichwa aliyetumia makalio si umeona alivyomanuliwa na asipokubali kwenda kulima kwao basi amtafute kaoge mtu wa kwao atamsaidia kumpa michongo ya kuishi mjini
Ningekuwepo siku wazaz wako wanazini ningewapa condom tu au ningemwambia babako apige punyeto
 
Namshauri awafuate wale aliowasaidia kuhakikisha wanapata mikopo,hiyo ndio faida ya kujitia kimbele mbele kwa mambo yasiyokuhusu,sasa wenzake wameshasoma na wanafanya shughuli zao yeye amegeuka matonya!
Naona umetumia ubongo wa nyuma
 
Kwan muda wote huo baada ya kusimamishwa chuo alikuwa akijishughulisha na nn?
 
Back
Top Bottom