Sote hapa tunaamini kila mtu atakufa! Ingawa cjui ni wangapi wanajua watakufa lini na Vifo vyao vitasabishwa na nini,,,! so ikiwa hatujui 7bu ya vifo vyetu ila tunajua Tutakufa kwanini wengine wanamlaani huyu ndgu! au kuna anaejua kwamba huyu ndugu kifo chake kingekuwa cha SURUA badala yakujinyonga!