Mwanafunzi Afia kwenye Daladala ya Kawe -Karikaoo wakati mjada wa Budget wizara ya Afya Unaendelea

Leo Majira ya saa moja na dakika 45 Asubuhi nikiwa nimepanda daladala pale kituo cha moroco kwenda kawe kwa bahati mbaya sikupata siti mpaka kwa Mwalimu, lakini tangu napanda kulikuwa na mwanafunzi wa kike ameketi katika siti amefunga hijabu lakini alikuwa anaonekana amesinzia ikafika njia panda ya coca colla konda akawa anakusanya nauli kufika kwa yule mwanafunzi akamuamsha lakini Binti alikuwa harespond chochote konda akajua ni usanii labda hataki kulipa nauli akamtikisa Pole mwanafunzi.
 
Duhu!! Inauma sana ,the only solution ni kuondoa huu utawala dhalimu kwa maandamano,If posible tujipange weekend hii tuweke kambi Mnazi mmoja hope ndio sehemu nzuri ya kuanzia maandamano tukielekea Ikulu

Sijui nina kichwa kigumu - sijaelewa uhusiano wa kifo cha binti huyu na utawala dhalimu na maandamano!
 
Ningekuwa mhuni ningekutukana,pia avatar yako inaonyesha uwezo wako wa kufikilia very poor.Mtu mzima ovyoo!!!!!!!!!!!!!

Yani usichoona link ya tukio na KIFO CHA BINTI HUYU MDOGO [RIP] nini? Unajua kama mfumo wetu wa afya ungekuwa ni wa haki binti huyu familia yake ingekuwa inajua status ya binti yao hata kama si mgonjwa kwa kuwa mfumo ungekuwa unaruhusu Medical check up.

Jamani lweli ni muhimu kupima afya. inasikitisha sana jamani mungu ampumzishe kwa amani peponi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom