Mwanafunzi afia kambini JKT Tabora

Nyie ndii mnaokunywa juice za maboksi, serikali iongeze muda iwe mwaka mmoja. Kijana wangu hata wakifuta kwa mujibu wa sheria ni lazima aende
Sio lazma tuwe na akili na maono sawa,we kama una penda mpeleke mwanao jkt na ukitaka ajir kamanda amfundishe mwanao ukakamu chumbani kwake.
 
Hawa watoto wanapelekwa huko bila kupimwa afya zao na ukisema unaumwa husikilizwi kuna MTT wa dadaangu yupo Tanga kanielezea ni shida kwa kweli
 
mh inauma sn jmn.mdogo angu kakataa katakata coz kuna mwenzie alifariki huko alilia sn sn wakati yuko form five. alipomaliza akapangwa kigoma kiukwel amegoma kabisaa
 
Kufa ni lazima kwa binadamu yeyote.Binti wakati wake umefika.Vijana tuache woga JKT ni mahali pazuri na panapofaa kwa vijana.
 
Katika vitu ambavyo serikali ya Tz inafanya vyaa ajabu ni hivii kuweka jeshi na kuweza kutoa huduma za malazi while kwenye mikopo wa wanafunz wa vyuo hawatoi wanavyuo weng wanalalamika mikopo na had wengne wanashndwa kusoma kabsaa kwakwel serikal haifai watoe jeshi wawekeze sehem zngne kweny bajeti ya jesh LA kuuua..R.I.P serikali hii haifai + jeshi pia
 
Hivi kwani hili jeshi ni lazima jamani?.. Kuna madhara gani kama mtu akigoma kuhudhuria haya mafunzo?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kufa ni lazima kwa binadamu yeyote.Binti wakati wake umefika.Vijana tuache woga JKT ni mahali pazuri na panapofaa kwa vijana.

Unatakiwa uelewe si kila kifo kimepangwa na MUNGU vingine hupangwa na wanadamu huu siyo utaratibu hata mzazi kasomesha kwa shida akiwa na matumaini ya kusaidiwa uzeeni halafu akafie jkt serikali angalia upya huu utaratibu
 
Umeambiwa amekufa kwa malaria,sasa povu la nini?? kwani angekua nyumbani asingekufa kwa malaria?? wangapi wamesomeshwa hadi masters na wanakufa kwa malaria huku mitaani sembuse kufa fom 6!!
 
Kufa ni lazima kwa binadamu yeyote.Binti wakati wake umefika.Vijana tuache woga JKT ni mahali pazuri na panapofaa kwa vijana.

panafaaje kwa vijana??... mimi nimepita huko na najaribu kufikiria uhalali wa sentensi yako ya mwisho. samahani, naomba unieleweshe
 
mh inauma sn jmn.mdogo angu kakataa katakata coz kuna mwenzie alifariki huko alilia sn sn wakati yuko form five. alipomaliza akapangwa kigoma kiukwel amegoma kabisaa

ni ushenzi tu unafanyika huko, nilishaapa mmi mwenyewe hawataniona wala watoto wangu sitawaruusu kwenda, nitawaeleka kokote kusoma kama wakiwaletasheria za kipumbavu, huyo mwache abakie nyumbani. ni bora akae nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…