Mimi nilikuwa jeshini, huko
ukiugua kwanza unaanza kunyimwa chakula hivyo ni lazima utadhoofika tu,
siri moja ya jkt ni kwamba ukiugua homa kali toroka mara moja
usichelewe, bora urudi ufungwe
Malaria inatibika,how
come mtoto anakufa?nyie watu wa serikali mlioko humu nisikilizeni kwa
makini sana,MWANANGU HATAENDA JKT.Niko radhi kuipinga hii sheria popote
pale na ikishindikana atakaa nyumbani auze duka lakini huko kuzimu
haendi. huu upuuzi wa JKT sitaki kuusikia,full stop.na kwa jinsi hii
vyuo vyenu vya bongo vitapoteza wateja wengi!tutawapeleka
Uganda,China,SA na kwingineko,na huko mkibana watabakia huko huko wawe
raia wa huko.hatuwezi kupelekeshana mambo ya kijingajinga.hii ishu ya
jkt siipendi kama nini,hata ukisoma post yangu utahisi chuki niliyo
nayo.
Kama wenyewe viongozi wameenda jkt na uzalendo hawana,kazi ufisadi na ufataki,je hawa itakuwaje??,,,waseme tu ukweli kuwa jeshi linahitaji watu waliopitia mafunzo kwani vita vinanukia
Poleni wazazi. Halafu utashangaa msemaji wa JKT anaanza kutoa povu eti social networks ikiwemo JF eti ni wazushi. Malabuku.
mmmmh! ni SHIIIDAH
we jamaa una ibua machungu ya familia tulisha anza kusahau,hii post ya tangu mwaka jana july....NAICHUKIA SERIKALI YA CCM KWA KULAZIMISHA wATOTO WETU WAENDE JKT NI UKOLONI.
Malaria inatibika,how come mtoto anakufa?nyie watu wa serikali mlioko humu nisikilizeni kwa makini sana,MWANANGU HATAENDA JKT.Niko radhi kuipinga hii sheria popote pale na ikishindikana atakaa nyumbani auze duka lakini huko kuzimu haendi. huu upuuzi wa JKT sitaki kuusikia,full stop.na kwa jinsi hii vyuo vyenu vya bongo vitapoteza wateja wengi!tutawapeleka Uganda,China,SA na kwingineko,na huko mkibana watabakia huko huko wawe raia wa huko.hatuwezi kupelekeshana mambo ya kijingajinga.hii ishu ya jkt siipendi kama nini,hata ukisoma post yangu utahisi chuki niliyo nayo.
Nyie ndii mnaokunywa juice za maboksi, serikali iongeze muda iwe mwaka mmoja. Kijana wangu hata wakifuta kwa mujibu wa sheria ni lazima aende
Hakuna jkt wanaenda kubaka na kuwapa ukimwi tu watoto wa watu
acha hizo dingi mimi siendi...si unasikia mwenyewe watu wanavyo dedi....???