Ivonya-Ngia
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 703
- 385
Mwanafunzi wa kidato cha sita kutoka shule ya sekondari Loyola Halima Kitangila amefariki dunia huko Msange Tabora JKT kwa madai ya kuugua maleria.
My take
Kuna haja ya serikali kuangali utaratibu wa mafunzo hasa kwa watoto wa kike ambao hawaendi JKT kujitolea. RIP Halima.
Source: Tanzania Daima
​ ulikuwa selule mkuu, vifo hata uraiani vinatokea kwa nini jeshini iwe nongwa...Hakika jeshini wanacheza sana na afya za binadamu. Nakumbuka miaka yetu ukiumwa kwanza hadi upewe pass ya kwenda hospital hiyo process tu unaweza kufa. Na kama unaumwa kiasi gani hakuna chakula cha wagonjwa. Wenzetu walikufa sana kwa uzembe. Yaani udhaifu, udhaifu kila eneo.
Inaumiza sana mzazi anamuaga mtoto wake aliyepata division one akiwa mzima halafu anarudishiwa maiti. Very sad!
mambo za kulazimishana jeshi karne hii azifai.
kuna tetesi uko magonjwa mengi watoto awalali vizuri
ukiumwa wanajua unazarau na unapata mateso zaidi.
wazaz mliopeleka watoto uko mshtuke. msije kupoteza watoto wenu.
​ ulikuwa selule mkuu, vifo hata uraiani vinatokea kwa nini jeshini iwe nongwa...
Afadhali angekufa mwenye divn foo au ziro siyo?!!
Siyo enzi za ujima. Vyuo binafsi vipo kibao na vya nje ya nchi vipo kibao. Ila mi mwanangu nitamwambia awe jasiri akilemewa atoroke, na akifa nitahakikisha naenda kuwaua askari waliohusika kwa njia yeyote iwe risasi au njia nyingine. Inatia hasira, nikuze mtoto then aje auawe na wanajeshi! shit zao.Atachukuliwa hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kukosa uwezo wa kudahiliwa vyuoni.
Acha ulimbukeni wewe. Jeshini ni Ubakaji+Uuaji. Hii kitu itakuja kuigharimu serikali. Mimi mwanagu afie huko mbona hapatatosha.Kule boarding schools kuna vifo vya wanafunzi kutokana na maradhi mbalimbali. Wapo pia wanafunzi wa day schools ambao hufia mikononi mwa wazazi/walezi wao kutokana na maradhi sasa utatwambiaje wanafunzi wakifa katika makambi ya JKT basi utaratibu uangaliwe upya(ufutwe?)????
Lete basi hapa na takwimu za wanafunzi wanaofia mashuleni na majumbani kwa mwaka tupate ulinganifu kama hutasema huko nako utaratibu uangaliwe upya.
Hapa kinachozungumziwa mategemeo sio unafuu wa janga. Mtoto ni mtoto kwa mzazi.
Shiittt!! Asije kuwa alibakwa, wazazi/ndugu waombe uchunguzi. R.I.P
Pia wanajeshi huwa hawana muda mtu akiugua mi nadhani huyo marehemu alionesha dalili na wao wakadharau.
Hakuna jkt wanaenda kubaka na kuwapa ukimwi tu watoto wa watu
Acha ulimbukeni wewe. Jeshini ni Ubakaji+Uuaji. Hii kitu itakuja kuigharimu serikali. Mimi mwanagu afie huko mbona hapatatosha.
​ ulikuwa selule mkuu, vifo hata uraiani vinatokea kwa nini jeshini iwe nongwa...