Mwanafunzi Afariki kwa kunywa Methanol

Mwanafunzi Afariki kwa kunywa Methanol

Page 94

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
5,202
Reaction score
15,231
Katika hali ya kuhuzunisha, mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule moja mkoani Tabora amefariki dunia kwa kunywa 'Methanol'.

Hali hiyo imetokea baada ya kuugua kwa siku kadhaa kabla ya kufariki leo hii.

Mwanafunzi huyo pamoja na wenzake walikuwa katika maabara ya shule wakifanya mazoezi kwa vitendo (practicals) ili kujiweka sawa katika kuikabili mitihani yao baadae mwezi Novemba.

Walipokuwa wakiendelea na mazoezi, waliona chupa yenye kemikali hiyo ya Methanol yenye molecular fomular CH3OH wakidhani ni Ethanol.

Ethanol ni kemikali itumikayo katika utengenezaji wa pombe. Basi nao wakidhania ni pombe wakaibugia. Asaleeh! Tuwakemee watoto wetu wajaribupo kuonja ama kushawishika katika matumizi ya pombe katika umri mdogo.

Baada ya kuinywa, waliendelea na mambo yao. Hali zao zilianza kubadilika baada ya siku mbili. Wakakubaliana kuifanya siri isigundulike. Walilegea na kuzidiwa na kufikishwa katika kituo cha afya cha karibu. Madaktri walianza kuwapima, hawakuonyesha dalili ya ugonjwa wowote.

Mmoja wao ambaye sasa ni marehemu aliruhusiwa kutoka baada ya kuonyesha unafuu. Lakini uoni wake ulififia kwa kiasi kikubwa.

Mwingine aliendelea kubaki na hali yake ilizidi kuzorota. Baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya, mwanafunzi aliyekuwa akimuuguza ikabidi atoboe siri kwa wauguzi kuwa vijana hao walikunywa Methanol.

Ndipo taratibu za haraka kufanyika na kuhamishiwa hospital ya Rufaa Kitete. Nao wakafanya utaratibu wa kumpeleka hospital ya taifa Muhimbili.

Marehemu baada ya kuonyesha unafuu kidogo, yeye akabakia Kitete ambapo baadae leo akifariki dunia.

Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali anapostahili.

My take:
Walimu kuweni makini sana katika maabara. Wanafunzi wengine ni watundu na walevi. Kosa kidogo tu linagharimu maisha ya mwanafunzi na ya kwako pia.
 
Walidhani C2H5OH ??
 
RIP
Wadogo zetu acheni ulevi
 
Walimu wanatakiwa kuzisimamia kemikali wakati wa mazoezi kwa vitendo na kisha kuzifungia.
 
Gongo imepigwa marufuku kwasababu , kwenye fractional distillation ule mrija wa kiswahili sio mrefu hivyo methanol hujipenyeza kwa kiwango kidogo.
Pale konyagi Dar, mirija Ni mirefu Kama gorofa kiasi kwamba methanol yote inabaki chini Ni ethanol tu ndio inayokingwa.
 
Ina maana hao form4 hawajafundishwa laboratory rules au hawakuelewa ila walikariri kwa ajiri ya mitihani.
Na hao form4 ni watu wazima na bado wana tabia za kitoto alafu wanaitwa taifa la kesho.

Serikali badilisheni huu mfumo wa elimu.
 
Back
Top Bottom