Mwanafunzi adukua mtandao wa Serikali na kujiajiri, Afrika Kusini

Hawakustahiri hata kusema kwamba wanamtafuta, watu wa namna hii ni tunu wanatakiwa kutunzwa ili waweze kusaidia maendeleo ya nchi, sio hapa kwetu unamki uri halafu anaangukia katika mikono ya ccm, anakubali kuondolewa akili yake yote
 
Kadukua eeh SAFI..wamuajiri sasa maana kawaonyesha ni kiasi gani ma I.T wao ni mashengegele...WAKIMFUNGA watapoteza kichwa kizuri sana Watu wa namna hiyo waajiriwe TU.

mi mwenyewe saivi nikija kufanya interview kwenye kampuni yako ukinitosa Nadukua kampuni alafu natulia nione kama hutontafuta.
 
Huyo ni Mjasiriamali. Amejiajiri.
 
Hakuna haja ya kufunga jiwe Mi mwenyewe nanga ila ukweli utabaki pale pale ni mwizi tu Na kwa taarifa yako mwizi hawezi kufanya Kazi ya halali cos kasomea wizi
Hivi Kama kweli ni genius angeapply kwa kuonyesha vyeti yake wangemnyima? No way huyu ni mwizi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…