Mwanafunzi adukua mtandao wa Serikali na kujiajiri, Afrika Kusini

Hawakustahiri hata kusema kwamba wanamtafuta, watu wa namna hii ni tunu wanatakiwa kutunzwa ili waweze kusaidia maendeleo ya nchi, sio hapa kwetu unamki uri halafu anaangukia katika mikono ya ccm, anakubali kuondolewa akili yake yote
 
Kadukua eeh SAFI..wamuajiri sasa maana kawaonyesha ni kiasi gani ma I.T wao ni mashengegele...WAKIMFUNGA watapoteza kichwa kizuri sana Watu wa namna hiyo waajiriwe TU.

mi mwenyewe saivi nikija kufanya interview kwenye kampuni yako ukinitosa Nadukua kampuni alafu natulia nione kama hutontafuta.
 
Yaani mtu amefanya wizi halafu kila mtu ati huyo ndio kidume,huyo ndio katumia vizuri elimu, huyo ndio kiboko huyo ndio nini sijui
hivi kweli utumie elimu kufanya uhalifu halafu ndio uonekane mjanja?!
Hapana sio bure Kuna TATIZO mahali Kama watanzania either kwenye mfumo wa elimu yetu au mfumo wa maisha yetu
Huyo ni Mjasiriamali. Amejiajiri.
 
Hakuna haja ya kufunga jiwe Mi mwenyewe nanga ila ukweli utabaki pale pale ni mwizi tu Na kwa taarifa yako mwizi hawezi kufanya Kazi ya halali cos kasomea wizi
Hivi Kama kweli ni genius angeapply kwa kuonyesha vyeti yake wangemnyima? No way huyu ni mwizi tu
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom