Mwanafamilia mwenzenu anaumwa

Mwanafamilia mwenzenu anaumwa

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Habari za muda huu wanaJF?

napenda kuwajulisha ya kwamba ninaumwa nimegundulika nina homa ya ini "hapetitisB" nipo kwa matibabu tangu juzi Agakhan hospital kwahyo tuombeane.

Nimemiss michango yenu na pia kuona post zinazotujenga vijana, hapa nina drip lakini nimemwambia mke wangu pc yangu ni muhimu ili leo nione notifications zilizonifikia.

Otherwise najisikia vizuri kiasi ukizingatia na siku nimekuja.
 
Pole sana mkuu bomouwa,.

Mwenyenzi MUNGU akupe ahueni!
 
Last edited by a moderator:
Pole mkuu ila tumia tu smart phone Pc mbona itakula nafasi ya juice kwenye meza
Ugua pole!
 
Mkuu pole sana, Mwenyezi Mungu akuponye haraka. Tupo pamoja
 
Pole sana mkuu, Mungu na akuponye
 
Mungu wetu ni Mponyaji, amini huvyo na utaamka hapo kitandani na kuendelea na shughuli zako. AMein.
 
Get well soon... M'Mungu atakujaalia ahueni ya haraka amin.
 
asanteni, yani walihisi na dengue jamani
 
Dah, pole sana mkuu! Muamini yeye aliye juu utapona kabisa ndani ya siku chache zijazo! Ila mkuu huwa unashinda jukwaa gani hapa JF au la kule chiniiiiiiiiii, make ID yako ngeni kabisa kwangu, au umetumia ile nyingine?
 
pole sana ukitolewa drip kunywa maji mengi ufuate ushauri wa daktari sawa mkuu...
 
Pole sana mkuu Mungu akutie nguvu na kukuponyesha mapema
 
Back
Top Bottom