MwanaFA na AY

MwanaFA na AY

msukuma01

Member
Joined
Jan 4, 2016
Posts
37
Reaction score
9
Hivi ni kweli hawa jamaa wawili wana bifu kwa sasa? Mwenye kujua hili atujuze
 
Sasa ya lini?? Siku kadhaa,wiki au miezi?
 
WEWE KWANI WAKIWA NA BIFU AU WASIPOKUWA NA BEEF UNASHINDWA KULA UGALI WAKO???
 
Eti msukuma! Wee mkwere nahisi. Watu wa bara hatunaga mambo ya umbea umbea.
 
Ukiambiwa ndio wana beef. Utaendawapatanisha? Wabongo bhana.
 
Vijana nini tena.!!?. Mida yote tunaombeana majanga tu.!!
 
Labda hilo bifu limeanza sekunde hii,maana hii picha nimeipiga dakika si nyingi.
FA-AY-pic.jpg
 
..wana beef,kuku,mbuzi mbavu na mutton, wamezi marinate kwa ajili ya ka berbeque party flani na washkaji zao...
 
Wasukuma bhana mkiambiwa mtasema tunawaonea
 
Back
Top Bottom