Mwanadada wa JF kanitongoza

Hawa ndio wanamuona nyerere kwenye miti...

Mweee
 
Kwanza umefikisha 3.5 gpa au mihemko tu inakusumbua?
 
Basi wewe utakuwa sio mwanaume halisi,unaanzaje kutangaza kwamba umetongozwa!!.......
 
Wakuu mimi mgeni bado hapa jF..nisaidien maana ya haya maneno.
1:mods
2😛M
 
Ndo mana mnaitwa wanaume wa dar sasa vinahusu nini kuja kumwanika na sisi wanawake tukome unaendaje mtongoza mtu pm ata kumjua humjui
 
Hivi kumbe watu bado wanapokea PM? Mi nilijua kuna tatizo la kiufundi. 8 months and counting sasa pako dry, what am I not doing right?
 
Wakuu mimi mgeni bado hapa jF..nisaidien maana ya haya maneno.
1:mods
2😛M
mods ni jamaa flani humu ndani wameajiriwa kwa ajili ya kufuta thread za watu na kuwafungia hawataki uandike wasichokipenda
pm ni ujumbe wa siri ambao mara nyingi hulahisha utongozaji humu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…