Mwanadada wa JF kanitongoza

Angalia usijekutana na Jana mume siku ya appointment,mana wanajua wapiga nyeto huishia kupoteza nguvu za uanamume na kuanza kupigwa.

Maana hamna namna,asiepiga Na apigwe tu!!
 
"atakupenda vizuri" maana yake nini? Halafu mbona kama we mwenyewe ulikubali tu kwa urahisi? maana demu anapokataakataa ukabembeleza akaingia king ndo kutongoza. sasa wewe hujasema kama ulimbishia hata kidogo.
 
kubisha bisha au kukataa kidogo sio maana ya kutongoza,rudi kwenye kamusi haraka iwezekanavyo
 
Angalia usijekutana na Jana mume siku ya appointment,mana wanajua wapiga nyeto huishia kupoteza nguvu za uanamume na kuanza kupigwa.

Maana hamna namna,asiepiga Na apigwe tu!!
niko makini kila hatua ninayopiga
 
Kama ni kweli hii kitu haujaitunga tu basi ujue na yeye atakuwa amekushauri kenye hizi comments .
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…