Mwanadada wa JF kanitongoza

Usiseme kakutongoza! Sema mnawasiliana
 
hivi hukujiuliza ni kwann ameruhusu uje utangaze humu
au wew ndiye uliyetaka
 
unakimbilia wapi kuja huku
Inabidi kukimbia tu comrade.
Hawa wavulana yogoyogo sana kwenye mitima yao aiseeee....
Washa kipaka tayari, hata nikitongoza nitaambiwa (naogopa usin'tangazeeee)
 
Inabidi kukimbia tu comrade.
Hawa wavulana yogoyogo sana kwenye mitima yao aiseeee....
Washa kipaka tayari, hata nikitongoza nitaambiwa (naogopa usin'tangazeeee)
umeonaeeeee, lakini unatakiwa ukomaeee
 
Yesu nimsubiri na wewe nikusubiri
jamani mbona mimi ndio nina gundu
hapana bhana mimi nitamtangulia Yesu. Kiruuuu unafikiri nitakaa muda bila kwenda pm.

uwe unachungulia chungulia kule
 
hapana bhana mimi nitamtangulia Yesu. Kiruuuu unafikiri nitakaa muda bila kwenda pm.

uwe unachungulia chungulia kule
nitaanza kuchungulia chungulia usinichomeshe mahindi tafadhali sina wa kumuuzia
 
nitaanza kuchungulia chungulia usinichomeshe mahindi tafadhali sina wa kumuuzia
hahahahahaha utaniuzia mimi mimi wala usijali.

hata ucjali nakuja ngoja nikale kwanza ili ukinitolea nje nisianguke chini
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…