Mwanadada upo tayari kuwa na mwanaume mwenye uchumi na elimu duni?

Mi sina kitu sio muhuni ila nimekupenda kutoka moyoni.Simple tu mtoto kanielewa hajaangalia upstair wala downstair.Life goes on.
Kama una elimu duni asikwambie mtu utakuja julikana na rangi zako halisi zitaonekana,,
 
Thamani ya mtu inatokana na statas yako..unamiliki nini unafanya nn anakujua nani unaishi wapi!!
Uo ndo ukweli kama huna kitu hata mbwa watalamba vyombo unavyolia chakula.

Mimi siwez kua na mtu kama mtu kama hana cha kumtusha.
 
Pamoja na michango yenu yote Ila ukweli ni kwamba ndoa nyingi ni za watu maskini lakini wengi wa humu if Wana unafuu wa maisha au wanatokea familia hizo lazima atachagua mwanaume
 
Kuanza pamoja na mtu hata mm nakubali. Kuna vitu naangalia kwa mwanaume zaidi ya elimu ya darasani na kipato.
Uelewa wake wa mambo, kutafuta maisha.
Maongezi tuu yanaweza sema huyu mtu anafaa au la.

Ila wanaume pesa ikianza kuja mnanyanyasa waliowavumilia, hii inaumiza sana ndo maana wanawake siku hizi hawataki haya.
 
Mie hapa ni mwanaume ambae nipo duni (dhaifu hali) kielimu na kiuchumi, kama kuna mdada mrembo ambaye yeye anaamini kwenye mapenzi pekee pasi na viwili hivyo (pesa na elimu) na yupo tayari kwa ndoa namkaribisha PM
 
Back
Top Bottom