Malezi ya, ki Afrika, wazazi, wengi huwa hawajuhi kinachoendelea kwenye maisha ya, watoto wao, hata wakiwa wadogo, miaka 4-15,kwa vile anawaona wanacheza, wanaenda shule, wanarudi, anajua kila kitu kipo poa, unakuja kukuta, mtoto wako huko shuleni,anapigwa na wenzie, ana pewa vabal abuse na waalimu, wewe huna habari,Dogo anapambna mwenyewe, sasa akifika chuo,anakutana na, changamoto zingine,
Nakumbuka, nikiwa chuo, tukipokea boom LA kwenda field, wakati wenzangu wanaenda town kujipiga pamba, nk,mie natumia kulipa madeni ya Ada, sasa jamaa wakirudi hostel, wananilingishia, pamba zao, mie na masempele yangu, nabaki mkiwa, huzuni, nyumbani wazee wamekusahau, hawakujulii Hari, u nabaki huna sehemu ya kupumulia, maumivu yako,huna father figure wa kukupa moyo, kama kijanq ana roho nyepesi, unajimaliza,
Mimi niliona sehemu pekee ya kumaliza maumivu, nikaapa hawa wenzangu nitawakimbiza Kwenye masomo, mpaka waseme shikamoo, nikasoma Sana, nikawa few of the best, tukitoka darasani, lazima waje niwaelekeze, sehemu nyingine nikafanya Sana Weight lifting, ilinisadia Sana, kuna umuhimu Sana WA kuongea na hawa vijana intimately, ujue changamoto zao, sio vocha na simu, emotional challenges,