Mwanachuo Tumaini akutwa amejinyonga

Mwanachuo Tumaini akutwa amejinyonga

Haya maneno ya kikatoliki huwa yananishtua mno.
Kuna ile nyimbo

UWape bwana, Raha ya milele mwanga wa milele uwaangazie,

UWape bwana Raha ya milele mwanga wa milele uwaangazie,

Aaah navurugwa kabisa nikiwaza ntaimbiwa hivi duuh,

AU ile ninakulilia katika unyonge wangu ewe Kinga yangu,

Eeh bwana toka vilindini nimekulilia bwana usikie sauti yangu masikio yako yasikie dua zangu,

Bwana kama ungehesabu maovu ni nani angesimama mbele yako ?

Daah mm natamani tungekuwa tunachomwa hata moto, tuu 🥺

secretarybird

MKatumeni DIVISHENI FOO
 
Tafadhali usinikumbushe hizo ngoma
 
Ila tatizo binadamu tunasahau haraka.
Yale maneno yanachoma sana moyo lakini tunayasahau tukitoka pale.
kuna hii wanaimba,

Bwana ee bwana kwanini wasimama mbali,

Kwanini kujificha, na kujificha nyakati hizi za shida,

Kwanini kujificha bwana, nyakati za shida, *2

Kwanini kujificha na kujificha nyakati hizi za shida

Kwann kujificha bwana nyakati za shida,

Maana mdhalimu, mdhalimu hujisifia, hujisifia tamaa ya nafsi yake,

Bwana ee bwana kwanini wasimama mbali, kwanin kujificha na kujificha nyakati hizi za shida, kwann kujificha bwana nyakati za shida
 
Mkuu acha kuongza vionjo! 😂
 
Huyu kasoma kayumba izo nyingine itikadi Tu tuombe mwisho mwema
 
Malezi ya, ki Afrika, wazazi, wengi huwa hawajuhi kinachoendelea kwenye maisha ya, watoto wao, hata wakiwa wadogo, miaka 4-15,kwa vile anawaona wanacheza, wanaenda shule, wanarudi, anajua kila kitu kipo poa, unakuja kukuta, mtoto wako huko shuleni,anapigwa na wenzie, ana pewa vabal abuse na waalimu, wewe huna habari,Dogo anapambna mwenyewe, sasa akifika chuo,anakutana na, changamoto zingine,
Nakumbuka, nikiwa chuo, tukipokea boom LA kwenda field, wakati wenzangu wanaenda town kujipiga pamba, nk,mie natumia kulipa madeni ya Ada, sasa jamaa wakirudi hostel, wananilingishia, pamba zao, mie na masempele yangu, nabaki mkiwa, huzuni, nyumbani wazee wamekusahau, hawakujulii Hari, u nabaki huna sehemu ya kupumulia, maumivu yako,huna father figure wa kukupa moyo, kama kijanq ana roho nyepesi, unajimaliza,
Mimi niliona sehemu pekee ya kumaliza maumivu, nikaapa hawa wenzangu nitawakimbiza Kwenye masomo, mpaka waseme shikamoo, nikasoma Sana, nikawa few of the best, tukitoka darasani, lazima waje niwaelekeze, sehemu nyingine nikafanya Sana Weight lifting, ilinisadia Sana, kuna umuhimu Sana WA kuongea na hawa vijana intimately, ujue changamoto zao, sio vocha na simu, emotional challenges,
 
Nikiwa darasa la 6 siku moja jioni narudi home toka shule nikakutana na majamaa wawili wanamshushia kipigo cha mbwa mwizi mwenzao. Kuuliza sababu ni kuwa wanamwadabisha ndugu yao baada ya kumkuta anataka kujinyonga. Nikajiuliza mbona sasa hiki kipigo tu ni kama wanataka kumuua pia baada ya kipigo jamaa si ndo atakuwa kama kachochewa zaidi kujiua?
Hiyo ni ile unatibiwa ili upone ukanyongwe.
 
Back
Top Bottom