Mwanachuo Tumaini akutwa amejinyonga

Mwanachuo Tumaini akutwa amejinyonga

Leejay49 kwenye uzi wako ulimaanisha huyu

Kuna yule mwingine alichomwa kisu
 
Madhara ya kusoma EMs, Angesoma kayumba yasingemkuta hayo si ndio LIKUD
Nikiwa darasa la 6 siku moja jioni narudi home toka shule nikakutana na majamaa wawili wanamshushia kipigo cha mbwa mwizi mwenzao. Kuuliza sababu ni kuwa wanamwadabisha ndugu yao baada ya kumkuta anataka kujinyonga. Nikajiuliza mbona sasa hiki kipigo tu ni kama wanataka kumuua pia baada ya kipigo jamaa si ndo atakuwa kama kachochewa zaidi kujiua?
 

Je, amejinyonga au amenyongwa?

Matukio kama haya ni mengi Sana siku hizi, unahitajika uchunguzi wa kina kabisa ulio huru na wa kuaminika ili kung'amua ukweli halisi uliojificha nyuma ya matukio haya. Kuna Mambo mengi Sana siku hizi yamekuwa yakiendelea nyuma ya mapazia meusi.
Hili ni angalizo Kuu kwa Watu wote kabisa waliopo katika jamii.
 
Back
Top Bottom