Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,149
- 166,090
waturahisishie usafiri wa anga, badala ya kulipa malaki, walete nyungo tuwe tunalipa bukubukuHii nimeipenda.yaani sasa hivi tuna mpaka wachawi wenye digree zao! Safi!tena safi kabisa! Safi sana! Tumefanya kazi kweli kweli kwenye eneo hili la elimu. Kwa hiyo sasa hivi kila mtu walau ataweza kufanya mambo kisayansi.mkulima atalima kisomi na mchawi ataloga kisomi.
watawaondoa fastjet kwenye market,JRO-MWZ mia 5,mwanafunzi bure...uchiuchi,ingejaaje!!waturahisishie usafiri wa anga, badala ya kulipa malaki, walete nyungo tuwe tunalipa bukubuku
Mkuu,Napata shaka kwamba ni mwanachuo alikuwa anawanga, ila nahisi labda inawezekana wamentegeshea labda kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Najaribu 2 kutafakari.
Hii nimeipenda.yaani sasa hivi tuna mpaka wachawi wenye digree zao! Safi!tena safi kabisa! Safi sana! Tumefanya kazi kweli kweli kwenye eneo hili la elimu. Kwa hiyo sasa hivi kila mtu walau ataweza kufanya mambo kisayansi.mkulima atalima kisomi na mchawi ataloga kisomi.
Sikujua kuwa tunahodhi kombe la dunia..
Unafikiri mpaka ka nchi ketu kushikilia kombe la dunia la mambo ya ulozi ni mchezo? Wenye degree zao wachawi, viongozi wa kitaifa wanagawa kikombe cha babu, maaskofu nao wanawapigia chupuo wagawa vikombe nk.
Chezea Tanzania wewe!!
.
halafu huyu mama aliyekuwa analoga anasoma chuo cha dini..
Unafikiri mpaka ka nchi ketu kushikilia kombe la dunia la mambo ya ulozi ni mchezo? Wenye degree zao wachawi, viongozi wa kitaifa wanagawa kikombe cha babu, maaskofu nao wanawapigia chupuo wagawa vikombe nk.
Chezea Tanzania wewe!!
.
waturahisishie usafiri wa anga, badala ya kulipa malaki, walete nyungo tuwe tunalipa bukubuku
halafu huyu mama aliyekuwa analoga anasoma chuo cha dini.
...Mi nasubir launching wa zile ndege zao nadhani bei zitakuwa nafuu kuliko za Fast Jet!!..Hii nimeipenda.yaani sasa hivi tuna mpaka wachawi wenye digree zao! Safi!tena safi kabisa! Safi sana! Tumefanya kazi kweli kweli kwenye eneo hili la elimu. Kwa hiyo sasa hivi kila mtu walau ataweza kufanya mambo kisayansi.mkulima atalima kisomi na mchawi ataloga kisomi.
Sikujua kuwa tunahodhi kombe la dunia.
Ila nilipata kusikia kuwa mlango wa kwendea kuzimu uko Ziwa Tanganyika Kigoma, ukitupa mayai yakon saba, ukabiga na aya ya kwenye quran unaenda moja kwa moja kuonanan na Lucifer