Mwanachuo akamatwa akiwanga

.
Khe hivi theofilo ni cha dini? Kama ni hivi basi tutakuwa na kina babu lukuki siku za usoni.
Tanzania kiboko pale kariako shimoni pana jamaa ana mtaji wa elfu 30 katika biashara ya ndimu analinda biashara yake kwa mtambo maalumu yaani hirizi tena ina pumua kama kiumbe hai.
Chezea tanzania weye!
.
hata yule mtu alietemgeneza dawa ikamnasisha mtu huko temeke inasemekana ana masters kutoka tumaini
 
Hii nimeipenda.yaani sasa hivi tuna mpaka wachawi wenye digree zao! Safi!tena safi kabisa! Safi sana! Tumefanya kazi kweli kweli kwenye eneo hili la elimu. Kwa hiyo sasa hivi kila mtu walau ataweza kufanya mambo kisayansi.mkulima atalima kisomi na mchawi ataloga kisomi.

Waafrika itachukua muda mrefu sana kuchomoka hapa tulipo. Ni kuloga kwa kwenda mbele,lol!
 
.
Khe hivi theofilo ni cha dini? Kama ni hivi basi tutakuwa na kina babu lukuki siku za usoni.
Tanzania kiboko pale kariako shimoni pana jamaa ana mtaji wa elfu 30 katika biashara ya ndimu analinda biashara yake kwa mtambo maalumu yaani hirizi tena ina pumua kama kiumbe hai.
Chezea Tanzania weye!
.

Mkuu umenikumbusha mbali nimecheka mwenyewe hapa.. Kuna mpangaji alikuwa amepanga upande mmoja wa nyumba ya mdingi.. Akawa hataki kuhama na keci ikafika mpaka mahakamani.. Nilichukua kitambaa cheuci halafu nikaandika kiarabu.. Kisha nikachukua yai nikalivunjia mule halafu nikamchukua chura nikamfungia mule.. Likawa bonge la hirizi.. Jamaa akalikuta mlangoni hirizi inapumua na kuruka ruka.. Naamini huko alipo anaamini mpaka leo ule ni uchawi aliouona.. Maisha ya uswahili kiboko.. Wanaogopa uchawi kuliko polisi..
 
JF habari bila chanzo na udhibitisho usiikubali. Last week walizusha wahitimu wazumbe lupata ajali wakitokea kwa mahafali. Chezea gt wa kubumba.
 
mbona habari hii ya zamani sana jamani na huyu dada hakuwa anawanga anamatatizo ya akili toka long. Msipende kuzushazusha vi2.
 
Back
Top Bottom