Mwanachama mpya janvini-naomba ukaribisho wenu

Ubhumara

Member
Apr 10, 2012
93
36
Nimekua nikisoma thread zenu nzuri na zenye mtazamo wa kujenga fikra pevu ndugu zangu wana jamii na nimekua na kiu ya kujiunga ili namii niwe mmoja wa wanajamii sasa kwa uwezo wa MUNGU nimefanikiwa. Muda si mrefu nitaanza kuchangia baadhi ya mada. Niombeeni. Tuko pamoja
 
Karibu sana ndungu yangu na Mungu akujaze nguvu na uwezo wa kufanya hivyo
 
Wewe ingia tu,mbona mimi nilipiga hodi lakini hakuna aliyenikaribisha na bado nadunda ndani ya jf
 
Wewe ingia tu,mbona mimi nilipiga hodi lakini hakuna aliyenikaribisha na bado nadunda ndani ya jf

Huo sioo utaratibu maseto.Unatakiwa ujitambulishe jina,utoe namba ya simu,eneo unaloishi,jinsia na marital status pia!
 
karibu sana! Mimi ndio ninaita majina hapa(attendance) asubuhi na jioni..so u-ni pm nikusajili vizuriii
 
Back
Top Bottom