kauga JR
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 3,570
- 2,200
Kweli wewe ni MJINGA bola ukae kimyakwenye UNAFIKI.
ndio waislam TUNAFELI.
bora KAFIRI kuliko MUISLAM MNAFIKI.
Kweli wewe ni MJINGA bola ukae kimyakwenye UNAFIKI.
ndio waislam TUNAFELI.
bora KAFIRI kuliko MUISLAM MNAFIKI.
Sasa uzuri akuna wanafiki na wasiyo na umoja kama warabu yani uyu Iran atakungutwa paka ashangae mwenyewe
Hawa wote ni mbwa koko wanawekewa vikwazo wanalialia mwanaume ni AmericaChina, russia wwko wapi Mkuu?? Au ulikuwa jela
Vyovyote tu watakungutwa tuIran sio Mwarabu! Elewa hivyo kwanza. Hayo mengine nakuachia mwenyewe.
Huyo mwana mfalme hawezi kujilopokea tu ujue alichokisema kimeungwa mkono na jopo la viongozi wa diniIla nadhani kaongea kwa nafasi yake kama Mkuu wa nchi na sio kama kiongozi wa dini.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji106]kwenye UNAFIKI.
ndio waislam TUNAFELI.
bora KAFIRI kuliko MUISLAM MNAFIKI.
acha kuongopa mjomba.Huyo mwana mfalme hawezi kujilopokea tu ujue alichokisema kimeungwa mkono na jopo la viongozi wa dini
[emoji16][emoji16] wewe ndio msemaji wa israel duniani?Wapuuzi sana Mkuu. Uifute Israel halafu dunia ikuangalie tu! Watafutwa wao kabla ya Israel.
naona muda wangu unakwisha bureeeHawa wote ni mbwa koko wanawekewa vikwazo wanalialia mwanaume ni America
Toa ushahidi wa unachokingea, Saudia inaongozwa na serikali ambayo chini yake kuna mufti na baraza la wanazuoni ambao kazi yao kumshauri mfalme na kutoa fatwa (maamuzi) upo hapo mkuuacha kuongopa mjomba.
serikali ya saudia haiendeshwi na viongozi Wa dini.
hao masheikh ndo wameshauri saudia ishirikiane na marekani na Israel?Toa ushahidi wa unachokingea, Saudia inaongozwa na serikali ambayo chini yake kuna mufti na baraza la wanazuoni ambao kazi yao kumshauri mfalme na kutoa fatwa (maamuzi) upo hapo mkuu
wao hawakupendi zaidi [emoji4] wanakuita unajikomba komba kwao na ajabu wanakulinganisha na [emoji117]kama ni muislam kweli HAWEZI KUSEMA HIVYO.
amepingana na mungu na Quran.
moja kwa moja.
saudia wapo kimaslahi zaidi.
kama si kitovu cha dini yangu kuwa Saudia.
NISINGEKWENDA SAUDIA.kiufupi siipendi ile nchi.
Wote hao wanafiki tuu wanajali matumbo yaoToa ushahidi wa unachokingea, Saudia inaongozwa na serikali ambayo chini yake kuna mufti na baraza la wanazuoni ambao kazi yao kumshauri mfalme na kutoa fatwa (maamuzi) upo hapo mkuu