Mwana wa malkia live tbc1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwana wa malkia live tbc1

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wababa, Nov 7, 2011.

 1. W

  Wababa Senior Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tbc muwe mnaacha ubaguzi wa kutuletea habari kibaguzi, kwanini hbr za wapigania uhuru wapya huwa hamziweki ktk hbr zenu, cpendi tabia yenu mbovu, hiyo channel ni ya taifa cyo ya chama chenu hicho mnachokitukuza
   
 2. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tangu mtoto wa Malkia Elizabeth atinge ndani ya ardhi ya bongo baada ya takribani miaka 27 iliyopita,watanzania tunaonekana sijui tumesahau ya David Cameroon (USHOGA)
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  imekuwaje tena? Wengine hatuko Tz, tutonye nini kinaendelea? Nalog off
   
 4. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  if i may ask..., yy anahusiana vp na maamuzi ya pm david cameron??
   
 5. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Wadau yule mwana wa mfalme toka UK yupo live TBC1 tufuatilie
   
 6. damper

  damper JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 207
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  pumbavu!! Kuna wapigania uhuru 2011!! Au ndo nyie mnaotetewa na Waingereza mpatie haki zenu??????
   
Loading...