Mwana kulitafuta mwana kulipata

Mwana kulitafuta mwana kulipata

Behind the camera

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
315
Reaction score
757
Naandika huu uzi nikiwa sina maelewano na mama watoto wangu.

Hii ni baada ya jana usiku nikiwa nimelala , alichukua simu yangu na kuanza kupekua kila sehemu. Kawaida mke wangu hua anapenda saaana kukagua simu yangu sehemu tofauti tofauti. Ikiwemo SMS, MISSED CALLS, WHATSAPP n.k.

Hua namuonyaga kuwa si busara sana kufanya hivyo (uchunguzi wa kila siku) kwani mimi simu yake sina muda nayo.

SASA BASI.

Jana usiku Alifanikiwa kuingia katika moja ya mitandao ya kijamii ninayotumia na kukuta madudu yangu ya muda mreeeefu.

Alifanikiwa kukuta mawasiliano ya moja kwa moja na wanawake tofauti tofauti. Miongoni mwayo ni mitongozo na picha mbali mbali za nyuchi ambazo zilitumiwa na moja ya wanadamu hao.

Mbali na picha za nyuchi pia alikuta baadhi ya mawasiliano ya mahaba yaliyo ambatana na lugha sanifu na za kuvutia. Baada ya kujiridhisha kwa ambacho alikuwa anakitafutia, basi aliniamsha na kunionesha Madudu yale laivu.

Sikuwa na njia ya kujitetea kwa muda huo, wala sikuhamaki kwa jambo lile kwani lilikuwa ndio tayari limeshanikuta.

LEO ASUBUHI

Nimeondoka nyumbani tukiwa hatuongei chochote zaidi ya kumuachia pesa ya matumizi kisha nikatembea. Ameahidi kupiga simu kwa wazazi na kuwaeleza sakata zima jinsi lilivyo. Kwani kilio kimechukua sehemu kubwa ya maisha yake ya leo.

Lakini hapo ndipo nikaamini wasemavyo wakubwa kuwa
"MWANA KULITAFUTA - MWANA KULIPATA"

Lakini pamoja na yote hayo naomba msaada tafadhali.

Nini kifanyike upande wangu ili kuendelea na amani yangu ya moyo?

Maswali yatajibiwa

Asanteni.
 
Mkuu umesema ni madudu ya long time sana sasa kwanini hukuyafuta ilhali unajua fika tabia ya mkeo.

Mkuu chepuka kwa tahadhari acha kuzubaa.
Nimejisahau bwana. Afu kibaya zaidi hao wanawake sinao hata mmoja wala sijawahi kufanikiwa kuwapata.

Nakiri kosa la uzembe
 
Kanuni kuu ya maisha "tenda kwa wengine upendavyo kutendewa "
Vipi akikausha, kesho usikie kampa utamuu house boy hadi gate keeper, wanao wote kawalisha tamu yake, ikiwa waweza potezea naww kwa hali kama hiyo basi mwambie -- -aamue lolote wewe kwako ni fair game
-Tengeneza mazingira ya suluhu na ku jirudia kwa uliyo tenda
Nyie ni mwili mmoja, ukaguzi ni haki yake cause ya protection ya mahusiano
Chief kuna amani ya roho pale nyumbani na wanafamilia mnapokuwa na amani, yaani ukiwa wa maliza majukumu waona ile appetite ya kurudi na kukaa na Familia yako, it aches ukiwa wa kosa hii opportunity, especially kwa mwanamke mlalamishi na mkorofi.
 
Naandika huu uzi nikiwa sina maelewano na mama watoto wangu.

Hii ni baada ya jana usiku nikiwa nimelala , alichukua simu yangu na kuanza kupekua kila sehemu.

Kawaida mke wangu hua anapenda saaana kukagua simu yangu sehemu tofauti tofauti. Ikiwemo SMS, MISSED CALLS, WHATSAPP n.k.

Hua namuonyaga kuwa si busara sana kufanya hivyo (uchunguzi wa kila siku) kwani mimi simu yake sina muda nayo.

SASA BASI.

Jana usiku Alifanikiwa kuingia katika moja ya mitandao ya kijamii ninayotumia na kukuta madudu yangu ya muda mreeeefu.

Alifanikiwa kukuta mawasiliano ya moja kwa moja na wanawake tofauti tofauti. Miongoni mwayo ni mitongozo na picha mbali mbali za nyuchi ambazo zilitumiwa na moja ya wanadamu hao.

Mbali na picha za nyuchi pia alikuta baadhi ya mawasiliano ya mahaba yaliyo ambatana na lugha sanifu na za kuvutia.

Baada ya kujiridhisha kwa ambacho alikuwa anakitafutia, basi aliniamsha na kunionesha Madudu yale laivu.

Sikuwa na njia ya kujitetea kwa muda huo, wala sikuhamaki kwa jambo lile kwani lilikuwa ndio tayari limeshanikuta.

LEO ASUBUHI
.
Nimeondoka nyumbani tukiwa hatuongei chochote zaidi ya kumuachia pesa ya matumizi kisha nikatembea.

Ameahidi kupiga simu kwa wazazi na kuwaeleza sakata zima jinsi lilivyo. Kwani kilio kimechukua sehemu kubwa ya maisha yake ya leo.

Lakini hapo ndipo nikaamini wasemavyo wakubwa kuwa
"MWANA KULITAFUTA - MWANA KULIPATA"

Lakini pamoja na yote hayo naomba msaada tafadhali.

Nini kifanyike upande wangu ili kuendelea na amani yangu ya moyo?

Maswali yatajibiwa

Asanteni.
Piga kimya hivyo hivyo, akikuuliza mwambie hutaki mambo ya kijinga, akipeleka kwa wazazi, waambie hutaki vya kijinga afanye uamuzi anaoona unafaa
 
Tiba ya USALITI ni KISASI na haiepukiki. Poleeeeh San.

cariha njoo huku mwaya kuna mtu anahitaji nondo zako zile murua.
 
Naandika huu uzi nikiwa sina maelewano na mama watoto wangu.

Hii ni baada ya jana usiku nikiwa nimelala , alichukua simu yangu na kuanza kupekua kila sehemu.

Kawaida mke wangu hua anapenda saaana kukagua simu yangu sehemu tofauti tofauti. Ikiwemo SMS, MISSED CALLS, WHATSAPP n.k.

Hua namuonyaga kuwa si busara sana kufanya hivyo (uchunguzi wa kila siku) kwani mimi simu yake sina muda nayo.

SASA BASI.

Jana usiku Alifanikiwa kuingia katika moja ya mitandao ya kijamii ninayotumia na kukuta madudu yangu ya muda mreeeefu.

Alifanikiwa kukuta mawasiliano ya moja kwa moja na wanawake tofauti tofauti. Miongoni mwayo ni mitongozo na picha mbali mbali za nyuchi ambazo zilitumiwa na moja ya wanadamu hao.

Mbali na picha za nyuchi pia alikuta baadhi ya mawasiliano ya mahaba yaliyo ambatana na lugha sanifu na za kuvutia.

Baada ya kujiridhisha kwa ambacho alikuwa anakitafutia, basi aliniamsha na kunionesha Madudu yale laivu.

Sikuwa na njia ya kujitetea kwa muda huo, wala sikuhamaki kwa jambo lile kwani lilikuwa ndio tayari limeshanikuta.

LEO ASUBUHI
.
Nimeondoka nyumbani tukiwa hatuongei chochote zaidi ya kumuachia pesa ya matumizi kisha nikatembea.

Ameahidi kupiga simu kwa wazazi na kuwaeleza sakata zima jinsi lilivyo. Kwani kilio kimechukua sehemu kubwa ya maisha yake ya leo.

Lakini hapo ndipo nikaamini wasemavyo wakubwa kuwa
"MWANA KULITAFUTA - MWANA KULIPATA"

Lakini pamoja na yote hayo naomba msaada tafadhali.

Nini kifanyike upande wangu ili kuendelea na amani yangu ya moyo?

Maswali yatajibiwa

Asanteni.
Chai ya maziwa. Asante.
 
mzee hapo futa kila kitu..kaa na mkeo mwambie hayo yalipita ulishabadilika msameheane..amani irudi..af mwambie simu ni privacy ya mtu..kila mtu ashike simu yake..hayo tu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom