Mwana kulitafuta mwana kulipata

Mwana kulitafuta mwana kulipata

Kama hizo chati za zamani kabla hamjaoana mueleweshe maana uzuri wa mitandao inaonyesha detail zote (mwaka mpaka tarehe )

Na kama ulifanya kipindi mpo kwenye ndoa hana imani na wewe hata kama hao wanawake hujawahi kukutana nao yaani ni ngumu kumshauri akaelewa

kua makini mkuu unaweza kupoteza uaminifu kwa mambo madogo ambayo yakamfanya aanze kuchepuka kwa lengo la kulipiza kisasi hii itakua hatari kwako
 
Kama uko safi huwezi kumkataza mke wako asiangalie simu yako,mi mpenzi ata akichukua simu yangu akae nayo mwezi ,wazazi wakipiga tu aseme nina simu yake nitampa uongee naye baadae,hivi hizi mbio mpaka lini na kwa nini umsaliti mkeo? Na ulimchagua kuishi naye na mpaka unamuamini anakuzalia watoto,Mungu atusaidie
 
Kanuni kuu ya maisha "tenda kwa wengine upendavyo kutendewa "
Vipi akikausha, kesho usikie kampa utamuu house boy hadi gate keeper, wanao wote kawalisha tamu yake, ikiwa waweza potezea naww kwa hali kama hiyo basi mwambie -- -aamue lolote wewe kwako ni fair game
-Tengeneza mazingira ya suluhu na ku jirudia kwa uliyo tenda
Nyie ni mwili mmoja, ukaguzi ni haki yake cause ya protection ya mahusiano
Chief kuna amani ya roho pale nyumbani na wanafamilia mnapokuwa na amani, yaani ukiwa wa maliza majukumu waona ile appetite ya kurudi na kukaa na Familia yako, it aches ukiwa wa kosa hii opportunity, especially kwa mwanamke mlalamishi na mkorofi.
Safi sana,uko kama mimi
 
Madhara ya kumkataa Yesu hizo tabia za kipepo shetan atakuchakata mpaka ukome achana na hayo mambo. Muheshimu mwenzako

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom