Habari wakuu,kichwa cha habari hapo Juu kinajieleza,binafsi namchagua huyu jamaa Joseverest...kwa sababu ya ushapu wake wa kuwa #1 kureply kwa kila uzi unaoanzishwa hapa Jf kwa majukwaa yote...bado natafakari huyu jamaa inakuwaje hadi anakuwa wa kwanza najua hata hapa kwenye uzi wangu atakuwa wa kwanza...salute mkuu.