Mwana JF umewafumbua wangapi?

Ni kweli. Inabidi tuwaelimishe wasio na fursa ya kupata mtandao na source zingine. Mimi mwenyewe nimejitahidi kuwaelewesha wa2 kuhusu sakata la Dowans.
 
Inko hii kazi mie naipiga utafikiri kuna posho napata.

Familia yangu wife, brothers, sister, mom na walioko kwenye nyumba zetu tunaongea lugha moja. Ofcn kwenye staff meeting huwa lazima niuze sera.
Wigo utaendelea kupanuka kadri tunavyosonga.

Kijijini ndo usiseme, huwa nikienda likizo natelemsha mipira au jezi ili kuwa karibu na vijana.
2010 tuliweka mgombea wa CUF kwa nafasi ya Diwani, CCM wakaangukia pua pamoja kwamba walikuwa na mapesa ya kumwaga.

Sasa natafuta wakazi wa jimbo la kwetu tulioko mijini ili tukusanye nguvu na kuwa na mkakati kazi for 2014 warm up.
 
Mkuu kwa jitihada zako amini kuwa ipo siku somo litaeleweka tu!! Hongera sana mchango wako halisi
 
Back
Top Bottom