Mwana JF share weakness yako

Mwana JF share weakness yako

Pure nomaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
1,158
Reaction score
1,388
Bwana Yesu asifiwe wapendwa,

Kama tunavyojua kwamba kila binadamu anaeishi chini ya jua ana mapungufu (No one is perfect under the sun). Mapungufu yetu au weakness zetu zinatusababishia hasara nyingi kuliko faida

Kwa upande wangu weakness inayonitesa zaidi ni Haya. Imenikosesha marafiki na fursa mbalimbali za maendeleo.

Mwana JF share weakness yako na madhara yake.
 
Nina huruma mpaka Imepitiliza. Hii imeleta madhara kwangu kwani baadhi ya watu huchukulia kama advantage kwao, wanajua siwezi kuchomoa wanapohitaji msaada wangu.

Lakini pamoja na hayo nimekuwa nikiufurahia huu udhaifu niliokuwa nao, naweza sema ni sehemu ya Furaha yangu. Najisikia amani na furaha kuona mtu mwingine kafanikiwa kupitia Mimi. Sipendi kuona mtu anateseka iwe kwa hali yoyote ile, na hata kwa wanyama pia.
 
Mkuu unabuku bee hapo nichukue vocha
 
Back
Top Bottom