Mwana JF mwenzangu, unatokea wapi wewe?

nna wewe hongera kwa kuwa ughaibuni mkuu,tunashukuru kwa taarifa...
Taarifa ya nini sasa we unaona ajabu kwa mtu kukwambia yupo ughaibuni? Huna tofauti na huyo aloyepiga picha hapo juu
 
Ningewaona wamaana kama mngedai hela zenu za rambi rambi mahakamani,
 
Niko hapa Ubungo mbele ya Igoma kama unaelekea Uyole ni mkabala na Kange mkono wa kushoto kuna hotel ya Kilimanjaro.

Kwa wanaotokea barabara ya mjini wanaweza pita Ujiji wakatokezea Masasi ili kuepuka Foleni sijui wewe ukaa wapi
 
Hii bangi ya Malawi
 
Aise Wapare bwana na sayansi ya asili ona hapo kushoto kaning'iniza nini chenye rangi nyekundu
[emoji1] [emoji1] huku state Christmas huwa tunapamba mpaka nje ya nyumba mkuu" ilo ni pambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…