Mwana JF Mwenye Nyodo Vs Busara

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Nimeamua kuuanzisha uzi huu kwa lengo la kuchichea mabadiliko ya tabia miongoni mwetu na hivyo kuzidi kuliboresha Jukwaa hili

Unadhani ni Mwana JF Yupi mwenye majinu au michango ya nyodo sana ama mwana JF mwenye michango ama majibu ya busara sana

Ukitoa na sababu itaswihi zaidi
 
tusimsahau mzee wetu wa mitaa ya kkoo.mzee Mohamed said.

yule mzee ana busara sana.majibu yake siku zote yamejaa hekima.huwa tunamtukana sana anapo anzisha mijadala yake.

nadhani hekima ya kiutu uzima inasaidia kumuuongoza.vinginevyo humu ndani pangekuwa panachimbika.
CC Mohamed Said

Yes Mohamed Said ana busara sana!
Sema kuna baadhi ya vitu huwa sikubaliani naye!
Lakini ni mtu moja mstaarabu sana!
 
Back
Top Bottom