ENZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,248 Reaction score 1,746 May 21, 2014 #61 kumbe utata nao ni sifa eeh?! ........... R.I.P Mr.ebbo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,780 Reaction score 858,551 May 21, 2014 Thread starter #62 Kidume said: kumbe utata nao ni sifa eeh?! ........... R.I.P Mr.ebbo Click to expand... na wengine wote waliotangulia mbele za haki ambao kwa njia moja au nyingine wameacha nyuma vitu vya kukumbukwa
Kidume said: kumbe utata nao ni sifa eeh?! ........... R.I.P Mr.ebbo Click to expand... na wengine wote waliotangulia mbele za haki ambao kwa njia moja au nyingine wameacha nyuma vitu vya kukumbukwa
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,008 Reaction score 165,553 May 22, 2014 #63 sosoliso said: Kaka salama..? Za siku nyingi..? Umekuwa adimu sana mtaanii kulikoni..? Na hizi sifa unazopewa hapa zinakustahili kweli..? Ni hayo tu.. Anakusalamia Paloma.. Click to expand... sosoliso msalimie wangu wa mitaroni Paloma, sijamuona siku nyingi sana. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sosoliso said: Kaka salama..? Za siku nyingi..? Umekuwa adimu sana mtaanii kulikoni..? Na hizi sifa unazopewa hapa zinakustahili kweli..? Ni hayo tu.. Anakusalamia Paloma.. Click to expand... sosoliso msalimie wangu wa mitaroni Paloma, sijamuona siku nyingi sana.
sosoliso Platinum Member Joined May 6, 2009 Posts 8,543 Reaction score 9,480 May 22, 2014 #64 Bujibuji said: sosoliso msalimie wangu wa mitaroni Paloma, sijamuona siku nyingi sana. Click to expand... Huwezi kumuona sasa amekuwa mlimbwende kuliko Cleopatra.. Nimewakodi Ultimate security kumlinda dhidi mbu wa dengue..
Bujibuji said: sosoliso msalimie wangu wa mitaroni Paloma, sijamuona siku nyingi sana. Click to expand... Huwezi kumuona sasa amekuwa mlimbwende kuliko Cleopatra.. Nimewakodi Ultimate security kumlinda dhidi mbu wa dengue..