Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
Wanayanga wote
Hhaahahah...hater...this is perfect for us haters...infact...ntakupa zawadi kama hii
hater waiting for that gift ,...
Unapenda iwe ya rangi gani hater? ila hater nakuchukiaaaaaaaa....hadi nataka kupasua keyboard
weka rangi unayoichukia... mimi nikitaja jina lako natetemeka kwa chuki... hater kikweli sikufarihi kabisa nakupa makavu mbele ya jamii I REAL REAL HATE U
mfyuu nibadili jina kisa wewe? kwa kipi hasa ukiniona pita kuleTena bora ubadili jina......unaharibu tu siku yangu .....ndio maana sikupendi....naomba tu nisikuone...manake itakuwa mangumi tu
mfyuu nibadili jina kisa wewe? kwa kipi hasa ukiniona pita kule
Nakuchukia sana wewe dada....ungejua tu.....sijui kwa nini hata ...I hate you than anything in this world